Mradi wa Mbuzi na Ng'ombe

Baba Askofu Mh. Elias K. Nasari na Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Ndugu Jerry Muro katika hafla ya kutoa zawadi ya Mitamba kwa familia duni ili kujikwamua Kiuchumi.
  • Cause Progress

  • Tsh 200000 Amount Needed
  • Tsh 160000 Collected yet
  • 80% Percentile
  • 15 Days left to achieve target

Ni mradi unaofadhiliwa na wadau wa Dayosisi kama Echo East Africa, Msaada wa Mbuzi na Ng'ombe unatolewa kwa kaya zenye uchumi mdogo ili kujikwamua kiuchumi.