DME Mission

Dhamira ya KKKT Dayosisi ya Meru ni Kushuhudia injili ya Yesu Kristo( Mathayo 28:19-20) iletayo wokovu kamili(Luka 4:18-19) Kimwili,Kiakili,kiroho,Kisaikolojojia,kiuchumi na katika kutunza uumbaji kwa watu wote kuhubiri,Kufundisha na kutetea Haki na kushuhudia kwa manenona matendo ilikuwafanya watu wote wamfahamu Mungu na Yesu Kristo(Yohana 17:3) na kuwa wanafunzi wake kwa msaada wa Roho Mtakatifu.


DME Vision

Taswira ya KKKT dayosisi ya Meru ni kuona kwamba:Kwa Uongozi wa roho mtakatifu na roho ya Umoja na upendo Dayosisi yetu inawaita na kuwavuta kwa Yesu Kristo watu wote kwa njia ya Neno la Mungu kama lilivyo katika biblia yaani Agano la jipya ,Agano la kale ili wamfahamu ,wamwamminina wamkiri kuwa Bwana na mwokozi wao ili wapate uzima wa Milele.


DME Administrative Structure

© 2024 ELCT-Meru Diocese. All Rights Reserved