Special Education Training Unit (SETU)

  • Cause Progress

  • Tsh 200000 Amount Needed
  • Tsh 160000 Collected yet
  • 80% Percentile
  • 15 Days left to achieve target

Ni programu iliyopo chini ya KKKT Dayosisi ya Meru katika Chuo cha wenye Ulemavu inayosimamiwa na MONA BEHNINGER 

Programu ya SETU inajihusisha na mambo matatu ambayo ni:

  1. Madarasa mawili kwa watu wenye changamoto ya akili wa rika mbali mbali.
  2. Kozi ya Mafunzo maalum kwa wawezeshaji wakiwemo waalimu,wachungaji,wainjilistikuwapa elimu na mafunzo ya kuelimisha na kuwahudumia watu wenye mahitaji maalum.
  3. Karakana:Mahali pa kazi kwa watu wazima wenye changamoto ya ulemavu wa akili.

Kwa maelezo zaidi bonyeza SETU