JIMBO LA MASHARIKI

Women Ministry

Jimbo la Mashariki ni mmojawapo ya Majimbo Matano ya Dayosisi ya Meru ambalo lipo KM 14 kutoka Barabara ya Arusha Moshi Kibaoni. S.L.P 311 Usa River Jimbo hili lina Viongozi wafuatao: 1. Mkuu wa Jimbo Anathe Pallangyo 07XXXXXXXXX anathepallangyo@yahoo.com 2.Makamu Mkuu wa Jimbo ____________ 07XXXXXXXXX @gmail .com 3. Katibu wa Jimbo: ___________________07XXXXXXXXXX @yahoo.com. Jimbo hili lilizaliwa mwaka 1999 kutoka jimbo Kati.


Viongozi wa jimbo


SHARIKA JIMBO LA MASHARIKI