Nkoaranga

Ni Usharika mama kabisa dayosisi ya Meru na upo Kilomita 5 kutoka Kilala, Usharika huu una Mitaa miwili Nkoaranga na Kombolewa.Usharika upo karibu kabisa na Hospital ya Nkoaranga na upo Jimbo la Kati.


Nkoaranga Management Team



Nkoaranga Streets with Related Staff

Name of the Street Staff Name Designation Phone Number